Explore
Connect
062.KABATI LA VITABU A man in A woman with Dr. Grace Mapunda
Add
aganyila
(
2022-01-27T13:54:41+03:00
)
Daktari ametoa mtazamo mpana na sahihi kuhusu mwanamke naaam na abarikiwe kabisa huko aliko. Awe mtu mkubwa kwa kweli. Nataman nije kukutana na mchabuzi pia atakayetupa mtazamo wa mwanaume. Hizi habari za kila kitu baba awekewe mezani kwa sababu tu ni mwanaume na anatoa labda wakat mwigine mahitaji yote nyumbani kisa JAMII IMETULEA IVYO mm sikubaliani nayo pia. Asante Grace
aganyila
(
2022-01-27T12:08:15+03:00
)
Nampongeza daktar Grace kwa kufanya deep History taking anapokutana na mgonjwa. Wengi wa siku hizi,na mfumo pia umeondoa ukaribu wa daktari na mgonjwa.inakuwa sasa kama biashara tu kwa sababu mtu analipwa kwa kadr ya watu waliowahudumia kwa siku. Ktk hali hii,madaktar wengi wana rush kazi. Wanawahi namba na target ya kituo walipo. Haikai vzr hii Ndio maana madaktar waliogundua siri hii na kuiweka kazn bas wanakuwa na polyclinic zao baadae wana deal na watu wao kadhaa kwa ufasaha of which hata mgonjwa anajisikia vizuri. Pia ni gharama sana. Inatumia muda wetu mwiingi mnoo. Mgonjwa atataka akupigie hata usiku wa manane. Akutafute kwa shida ya ukoo wake woote teh teh na mengine chungu mzima. Lakini ndio ivyo kwa kila jambo jema mna faida sana ndani yake na hasara(changamoto) zinazolifanya liwe na libakize wachache wanaoweza kulimudu. Barikiwa